Friday, 19 January 2018
Sunday, 14 January 2018
UTAMADUNI NI NINI?
MAANA YA UTAMADUNI
Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake.Hiyo inajumlisha ujuzi, imani, sanaa, maadili, sheria, desturi n.k. ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii.
Kama sifa maalumu ya binadamu, inayomtofautisha na wanyama, utamaduni ni suala la msingi katika anthropolojia, ukihusisha yale yote yanayopokezwa katika jamii fulani, kama vile lugha inayounganisha watu wanaohusika nao, fasihi, mafungamano, ndoa, michezo, ibada, sayansi na teknolojia.
AINA ZA UTAMADUNI WA MSWAHILI
Utamaduni wa Afrika.
Dhana ya utamaduni wa Afrika nzima ilijadiliwa kwa makini katika miaka ya 1960 na 1970 katika muktadha wa harakati ya Négritude, lakini imepoteza mtindo katika masomo ya Afrika.
Mpasuko mkuu ni kati ya Afrika ya Kaskazini (pamoja na Pembe la Afrika), ambayo ni sehemu ya ulimwengu wa Kiislamu, na Afrika ya kusini kwa Sahara, ambayo imegawanywa katika idadi kubwa ya tamaduni za kikabila.
PICHA YA UTAMADUNI WA MSWAHILI
Subscribe to:
Posts (Atom)